Serikali kuanzisha ofisi za NACTE kwa kila kanda. Mkurugenzi wa Usajili na Ithibati wa NACTE, Bi Twilumba Mponzi Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi imeanzisha ofisi maalum za kanda nchi nzima kwa ajili ya shughuli za usajili wa vyuo. Read more about Serikali kuanzisha ofisi za NACTE kwa kila kanda.