Chama cha Kans. Merkel chaanguka uchaguzi wa mikoa Washirika wa Kansela wa Ujerumani Angela Merkel wamemtaka kiongozi huyo kubadilisha mwelekeo wa sera zake za wakimbizi baada ya chama chake cha CDU kushindwa katika uchaguzi wa kimkoa Read more about Chama cha Kans. Merkel chaanguka uchaguzi wa mikoa