Rais Magufuli aombwa kuingilia mgogoro wa NICOL
Wajumbe wa Bodi ya Kampuni ya Uwekezaji nchini (NICOL) inayoongozwa na Bw. Felix Mosha umekanusha madai kwamba uongozi wa zamani wa kampuni hiyo umeshindwa kesi na kwamba kampuni hiyo ipo chini ya uongozi mwingine.