Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula.
Serikali imeanza kutoa elimu kwa wananchi kuhusu taratibu za kufuata katika kumiliki ardhi ili wananchi waweze kumiliki ardhi kihalali na kuitumia kujipatia mikopo kutoka taasisi za fedha nchini.