Oparesheni yanasa majambazi 14, watatu wauawa
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limesema limewakamata majambazi 14 na wengine 3 kufariki dunia katika mapambano baina ya jeshi la polisi na majambazi katika siku za hivi karibuni kwenye eneo la Vikindu mkoani Pwani.