Mbeya City wakwea kileleni baada ya kuwalipua Mbao Mbeya City jana imepanda kileleni mwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya wenyeji, Mbao FC Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Read more about Mbeya City wakwea kileleni baada ya kuwalipua Mbao