Bodi mpya NDC yapewa mtihani wa ujenzi wa viwanda Charles Mwijage Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amesema Shirika la Taifa Maendeleo ya Viwanda (NDC) ndiyo injini ya kushikiria sekta ya viwanda nchini. Read more about Bodi mpya NDC yapewa mtihani wa ujenzi wa viwanda