Wadau watakiwa kuukumbuka mchezo wa mieleka Moja ya pambano la mchezo wa mieleka nchini Marekani Wadau wa michezo nchini wametakiwa kujitokeza kwa ajili ya kuweza kusaidia vyama mbalimbali vya michezo ili kuweza kushiriki na kufanya vizuri katika mashindano ya ndani na nje ya nchi. Read more about Wadau watakiwa kuukumbuka mchezo wa mieleka