Ma'DC 7 wapiga marufuku utoaji holela wa vibali

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, George Simba chawene.

Wakuu wa wilaya saba nchini Tanzania, wamekubaliana kuwachukulia hatua za kinidhamu, viongozi wa kisiasa na serikali za kijiji wanaojihusisha na vitendo vya utoaji wa vibali katika maeneo ambayo yamekatazwa na serikali kuu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS