Snura ni changamoto - Rayvanny Rayvanny Baada ya kutoka video ya “Natafuta Kiki” pamekuwa na zengwe, kwa kile kilichoonekana kuwa ni mahaba juu ya Snura na Rayvanny kwa lile denda zito lililopigwa kitandani. Read more about Snura ni changamoto - Rayvanny