Fid Q atoa sababu ya kuvaa koti lililochanika Fid Q Msanii Fid Q ambaye ni rapa wa hapa Bongo kutoka pande za Rock City/Mwanza, ametoa sababu iliyomfanya akavaa koti lililochanika kwenye video yake mpya, na kuleta minong'ono kwa mashabiki. Read more about Fid Q atoa sababu ya kuvaa koti lililochanika