'J Combat' lapewa nafasi nyingine Dance100%
Kundi la J Combat kutoka Zanzibar lililoshiriki Dance100% 2016 hadi nafasi ya nusu fainali na kutolewa, limerejeshwa baada ya kubainika kuwa lilishindwa kutokana na muda wa maandalizi katika wimbo mmoja haukuwa sawa ikilinganisha na makundi mengine.