Mr. Blue kuwachukulia sheria wanaoharibu ndoa yake
Msanii wa bongo flava Mr. Blue ambaye hivi karibuni alipatwa na msuko suko wa kuyumba kwa ndoa yake, kutokana na kusambaa kwa tetesi za kuwasiliana na ex wake Najma Dartan, amesema yuko tayari kumchukulia hatua za kisheria aliyesababisha ugomvi huo.