WHO yatoa tani 50 za dawa kwa ajili ya kutibu maji
Shirika la Afya Dunia (WHO) limekabidhi tani 50 za dawa aina ya klorini, kwa ajili ya kutibu maji ili kuwezesha upatikanaji wa maji safi na salama hapa nchini kwa mamlaka ndogo 83 za maji katika halmashauri mbalimbali nchini Tanzania.