Magufuli ahimiza amani, Burundi na Sudan Kusini
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amezitaka nchi za Sudan Kusini na Burundi kudumisha amani kwa ajili ya maendeleo ya wananchi na jumuiya kwa ujumla.