Majimaji yatamba kuchukua point 3 kwa Yanga
Michuano ya Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara inaendelea tena kesho kwa michezo minne kupigwa katika mikoa mbalimbali hapa nchini ambapo Majimaji FC watakaokuwa ugenini hapo kesho dhidi ya Yanga wameahidi kuchukua pointi tatu katika Uwanja wa Uhuru jiji