Uchafuzi wa hewa waigharimu dunia dola trilioni 5

Uchafuzi wa mazingira unaotokana na moshi kutanda angani

Ripoti iliyotolewa na Benki ya Dunia imesema kuwa, uchafuzi wa hewa unaigharimu zaidi ya dola trilioni tano kwa mwaka jambo linaloathiri maendeleo ya nchi maskini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS