Criket taifa yaahidi kufanya makubwa Afrika Kusini

Kocha wa Timu ya Taifa ya mchezo wa Kriketi Kharil Remtullah amesema, anaamini kikosi chake kitafanya vizuri katika mashindano ya vijana nchini Afrika kusini kwani amekiandaa kwa kuzingatia mapungufu yaliyokuwa yakijitokeza.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS