Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa kwa Afrika ya Kati, UNOCA, Abdoulaye Bathily.
Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa kwa Afrika ya Kati, UNOCA, Abdoulaye Bathily atawakilisha umoja huo kwenye ujumbe wa ngazi ya juu unaoongozwa na Afrika mjini Libreville, Gabon.