Kilimanjaro Queens yajifua kwa Burundi, Kaitaba
Timu ya soka ya wanawake ya Tanzania Bara maarufu kama Kilimanjaro Queens inatarajia kucheza mchezo wake wa kirafiki dhidi ya Timu ya Taifa ya wanawake ya Burundi leo kwenye Uwanja wa Kaitaba, Bukoba Mkoani Kagera.