Naishi kwa pesa za kuandikia nyimbo - Amini
Msanii Amini ambaye amewahi kufanya vizuri na ngoma kibao kali amefunguka na kusema kuwa kwa sasa yeye amekuwa akiishi kwa pesa ambazo anapata kwa kazi ya utunzi wa nyimbo mbalimbali za wasanii wa bongo fleva.