Viongozi wa vijiji, kata kukaguliwa mali zao
Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kuhakikisha viongozi kuanzia ngazi za chini ikiwa ni pamoja na vijiji na kata wanajaza fomu za viapo vya uadilifu na kutangaza mali.