TPSF kutoa tuzo kwa bidhaa 50 bora za Kitanzania
Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) kwa kushirikiana na Shirika la Viwango (TBS) na wazalishaji wa bidhaa mbalimbali, watazindua kampeni ya Fahari ya Tanzania yenye lengo la kuhamasisha utengenezaji na uzalishaji wa bidhaa bora.