Nilikunywa pombe kutoa aibu kwenye video ya Rayvan
Msanii Raymond akiwa na Shilole wakati wa utengenezaji wa video ya 'Natafuta kiki'
Msanii wa muziki wa bongo fleva Zuwena Mohamed maarufu kama Shilole amefunguka na kusema ilikuwa ni jambo gumu kwake kufanya video ya 'Natafuta kiki' ya msanii Raymond.