Medeama siyo timu ya kudharauliwa-Hans Pluijm Kocha mkuu wa klabu ya Yanga, Hans van der Pluijm. Kocha mkuu wa klabu ya Yanga, Hans van der Pluijm amesema klabu ya Medeama ya Ghana si timu ya kudharau na wanalazimika kujipanga kwenye mambo mengi sana ili kuhakikisha wanaibuka na ushindi. Read more about Medeama siyo timu ya kudharauliwa-Hans Pluijm