Kamati ya Kimataifa ya Uvuvi yakutana Roma Mchuuzi wa Samaki akiwa sokoni Kikao cha 32 cha kamati ya kimataifa ya uvuvi kimeanza jana kwenye makao makuu ya shirika la chakula na kilimo FAO mjini Roma Italia. Read more about Kamati ya Kimataifa ya Uvuvi yakutana Roma