Madereva Mbeya wajisaidia kwenye magari yao

Madereva wa Magari makubwa ya kuchukulia mizigo katika eneo la Mwanjelwa jijini Mbeya wanalazimika kujisaidia haja ndogo katika Magari yao au kandokando ya miti iliyopo kandokando ya barabara kutokana na kukosekana kwa vyoo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS