Someni masomo yenye fursa za ajira-Kabetha Mkurugenzi Mkazi wa Universites Abroad Link, Tony Rodgers Kabetha akifafanua jambo. Watanzania wametakiwa kusomea fani zenye fursa pana ya soko la ajira ili kukabiliana na tatizo la uhaba wa ajira ambalo linaendelea kuota mizizi kwa sasa nchini. Read more about Someni masomo yenye fursa za ajira-Kabetha