Mfalme wa Soka Pele Kuoa Mara ya Tatu Pele na mpenzi wake, Marcia . Mfalme wa soka duniani, Pele ametangaza kufunga ndoa kwa mara ya tatu akiwa na umri wa miaka 75. Read more about Mfalme wa Soka Pele Kuoa Mara ya Tatu