Eid ni Machi 20 - 21 Bakwata yatangaza Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (Bakwata) limetangaza rasmi Sikukuu ya Eid El-Fitri mwaka huu itasherehekewa Machi 20 au 21, 2026, kutegemea mwandamo wa mwezi. Read more about Eid ni Machi 20 - 21 Bakwata yatangaza