Tiwa Savage afuata njia za Diamond,Don Jazzy
Msanii maarufu wa muziki kutoka Nigeria, Tiwa Savage, amezindua rasmi lebo yake mpya ya muziki ijulikanayo kama “Tiwa Savage Music Foundation.” Uzinduzi huo umefanyika jioni ya leo katika eneo la Victoria Island.

