Wafanyabiashara wa mchele Dar waomba sampo.

Wafanyabiashara wa jumla wa Nafaka hususani Mchele katika soko la Tandale Dar es salaam wamesema hatua ya serikali kutangaza kuagiza Mchele nje ya nchi ni nzuri lakini wameomba uletwe sampo kidogo wajiridhishe nayo sokoni kabla ya kuagiza tani nyingi zikaozea ndani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS