New Zealand yazidiwa na kimbunga Gabrielle
Maafisa wa New Zealand wanasema watu wasiopungua wanne, akiwemo mtoto, wamefariki kutokana na uharibifu wa kimbunga Gabrielle, ambacho kimesababisha mafuriko makubwa na maporomoko ya ardhi katika kisiwa hicho cha Kaskazini.

