Tekelezeni miradi kwa fedha za ndani
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema katika kipindi cha miaka miwili ya Serikali ya awamu ya sita imetekeleza miradi mingi ya huduma za jamii kila eneo hivyo watendaji wa halmashauri zote wanatakiwa waendelee kubuni miradi mikubwa na kuitekeleza kwa kutumia fedha za makusanyo ya ndani

