Kimbunga Gabrielle chaipiga New Zealand

Takriban nyumba 46,000 zimekatikiwa umeme wakati kimbunga Gabrielle kikishambulia kaskazini mwa New Zealand. Mamlaka zimetoa tahadhari juu ya mvua kubwa na upepo, na mamia ya safari za ndege zimefutwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS