Tanzania na Indonesia kushirikiana kwenye nishati Waziri wa Nishati, January Makamba amesema kuwa Tanzania inaona haja ya kuimarisha ushirikiano wa kihistoria kati ya Tanzania na Indonesia katika maeneo ikiwemo masuala ya Umeme, mafuta na gesi Read more about Tanzania na Indonesia kushirikiana kwenye nishati