Adanganya mama yake amefariki ili alipwe fedha Mwanamume mmoja alishangaza mahakama ya Mombasa baada ya kukiri makosa ya udanganyifu wa kuilaghai kampuni ya bima ya Sh600,000 kwa kudanganya kuusu vifo vya jamaa zake wa karibu. Read more about Adanganya mama yake amefariki ili alipwe fedha