Kuwaona Ronaldo, Messi VIP ni bilioni 6
Kuelekea mchezo wa kirafiki kati ya Saudi All Stars dhidi ya PSG hi leo, Baadhi ya mashabiki nchini Saudi Arabia wamelipa dola milioni 2.6, sawa na zaidi ya Tsh billioni 6 kwa ajili ya tiketi za 'V.I.P' kuwaona Ronaldo na Messi huku wao wakiwa kama wageni waalikwa.