Kimbunga Gabrielle kuipiga New Zealand Maandalizi yanaendelea nchini New Zealand kutokana na kimbunga kikali kinachotishia kuyakumba maeneo ya nchi hiyo ambayo tayari yameharibiwa na mafuriko mabaya. Read more about Kimbunga Gabrielle kuipiga New Zealand