Nikifa watazungumzia ubora wangu - Pep

Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola

Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amemtetea mshambuliaji wake Erling Haaland kutokana na kutofunga kwenye mechi za karibuni akisema kuwa wengi wanasahau haraka ubora waliokuwa nao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS