Aboutwalib Mshery kuingia kambini jumamosi

Aboutwalib Msheri baada ya kufanyiwa upasuaji ‘Operesheni’ Mjini Sousse nchini Tunisia.

Hatimaye Mlinda Lango chaguo la Pili wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Aboutwalib Mshery amefanyiwa upasuaji ‘Operesheni’ Mjini Sousse nchini Tunisia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS