Gambia kuomboleza kwa siku saba Rais wa Gambia Adama Barrow ametangaza siku saba za maombolezo kufuatia kifo cha Makamu wa Rais Badara Alieu Joof akiwa na umri wa miaka 66. Read more about Gambia kuomboleza kwa siku saba