TEMESA yaziomba taasisi za umma kulipa madeni.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) Lazaro Kilahala ametoa wito kwa Taasisi za Umma na Serikali zinazodaiwa na Wakala huo baada ya kupatiwa huduma za matengenezo ya magari, mitambo, huduma za ufundi, umeme na elektroniki, kuilipa TEMESA madeni inayowadai