Ndege ya Precision yagonga ndege

Precision Air

Ndege ya Precision Air yenye namba za usajili 5H-PWD imelazimika kutua kwa dharura baada ya kumgonga ndege (kiumbe hai), wakati ikiruka kutokea Dar es Salaam kuelekea jijini Dodoma.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS