"Wanaokichafua chama wasivumiliwe" - Mhe.Abdullah
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdullah, amekitaka Chama cha Mapinduzi mkoa wa Tanga kutowavumilia watendaji wazembe wa serikali ambao watakuwa ndio chanzo kikuu cha kukichafua chama hicho.