Vijana Nyegezi wataka kuuana kisa buku Shilingi elfu moja Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mwanza, imefanikiwa kusuluhisha mgogoro wa vijana wawili ambao walitaka kuuana kwa madai ya mmoja wao kushindwa kumlipa mwenzake shilingi elfu moja aliyokuwa amekopeshwa. Read more about Vijana Nyegezi wataka kuuana kisa buku