Taasisi za serikali zatakiwa kuhamia Dodoma

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu George Simbachawene ameziagiza taasisi 42 za serikali kuhamia Dodoma mwaka wa fedha 2022/2023 huku taasisi 36 zikielekezwa kufanya hivyo mwaka wa fedha 2023/2024 bila kuwa na kisingizio chochote

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS