Dr Mpango kuongoza upandaji miti Dodoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango anatarajiwa kuwaongoza wananchi wa Jiji la Dodoma kupanda miti ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar