UWT wahimizwa kusimamia fedha za miradi
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Chatanda amewataka viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania kusimamia vizuri fedha za miradi ya maendeleo zilizotolewa kwenye mikoa mbalimbali na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan