Polisi aliyeoa Desemba afumaniwa na mke wa mtu Polisi Afisa wa polisi nchini Kenya aliyefunga ndoa Desemba mwaka jana, amefumaniwa chumbani akiwa na mke wa mtu, katika nyumba moja mtaa wa Eastlands jijini Nairobi. Read more about Polisi aliyeoa Desemba afumaniwa na mke wa mtu